Bahati – Nyota Lyrics

Bahati – Nyota Lyrics

Loading...

Lugende lamu

Nikitafuta nyota ease

Mutema wangu

Mukachoma sana

Lugende lamu

Nikitafuta nyota ease

Mutema wangu

Mukachoma sana

Kisa cha damu msalabani

Uliniwahi wahi wahi

Siwezi lenga kama deni una ni dai dai dai

Kisa cha damu msalabani

Uliniwahi wahi wahi

Siwezi lenga kama deni una ni dai dai dai

Kwako me nang’aa sana

Wewe ni nyota eeh

Kwangu zaidi ya star baba

Wewe ni nyota eeh

Kwako me nang’aa sana

Wewe ni nyota eeh

Kwangu zaidi ya star baba

Wewe ni nyota eeh

Messiah ninavyo kuimbia

Si eti napendalia Laiti wangelijua

Mbali ulikonitoa

Ninavyo kuimbia… aha ahaa

Wangelijua … aha ahaa

Zile time za primo

Kaptula mashimo

Umenifanya ngumzo

Imekuwa ndo sivyo

Zile time za primo

Kaptula mashimo

Umenifanya ngumzo

Imekuwa ndo sivyo

Wewe ndiye nyota

Kwako me nang’aa sana

Wewe ni nyota eeh

Kwangu zaidi star baba

Wewe ni nyota eeh

Kwako me nang’aa sana

Wewe ni nyota eeh

Kwangu zaidi star baba

Wewe ni nyota eeh

Kisa cha damu msalabani

Uliniwahi wahi wahi

Siwezi lenga kama deni una ni dai dai dai

Kisa cha damu msalabani

Uliniwahi wahi wahi

Siwezi lenga kama deni una ni dai dai dai

Kwako me nang’aa sana

Wewe ni nyota eeh

Kwangu zaidi ya star baba

Wewe ni nyota eeh

Kwako me nang’aa sana

Wewe ni nyota eeh

Kwangu zaidi ya star baba

Wewe ni nyota eeh

Ulifanya nang’aa

Ulinifanya mi star Kwa yote

wewe ni nyota eeh Wewe ni nyota eeh

Wewe ndiye star

Wewe ni nyota eeh

Similar Posts:

Leave a Reply

Close Menu