Enock Bella – Toto Lyrics

Enock Bella – Toto Lyrics

Loading...

Nimempata dem mkali oooh

Amenikamata kichizi

Aaaiii amenifuta vyote mbili oooh

Marashi yake iliyo mwenzii

Tena akili hana

Anatetema ndani kaingia

Kuja kunipa joto na kushangilia

My lover, my lover, bend over ukiniona

Anajua fika akinipa nitapona

My lover,  my lover,  bend over ukiniona

Vile akikata fujo kila kona

Anapopiga ya misamba kareti (aah eeh)

Anaijua ya michezo kubeti (aah eeh)

Sisikilizi nyinyi redio kaseti (aah eeh)

Siri zangu zipo ndani ya kapeti (aah eeh)

My lover, my lover, bend over ukiniona

Unajua fika ukinipa napona

Toto! Am the man for you

Toto! Sijachelewa

Toto! Eeeh loving  you

Toto! Umenielewa

Toto! Am the man for you

Toto! Sijachelewa

Toto! Oooh loving  you

Toto! Umenielewa

Anaisimamia dedede

Kama anajifunza kutembea

Kwetu tunaitana ma beiby beiby

Kama twajifunza kuongea

Mara ajiite yeye ni ndege ndege

Na kipepeo kunipepea

Mpaka najiona mimi ni bwege bwege

Taratibu yaani naregea

Si bao wanipa kushika nijitetee

Nikichelewa kurudi nijitetee

Ni sala nyingi kama salimu kikekee

Lawama nyingi japo hajui matekee

Kwanii alikuwa wapi? Eeeh

Kwanii alikuwa wapi? Eeeeeehh……

Toto! Am the man for you

Toto! Sijachelewa

Toto! Eeeh loving  you

Toto! Umenielewa

Toto! Am the man for you

Toto! Sijachelewa

Toto! Oooh loving  you

Toto! Umenielewa

Toto! Am the man for you

Toto! Sijachelewa

Toto! Eeeh loving  you

Toto! Umenielewa

Toto! Am the man for you

Toto! Sijachelewa

Toto! Oooh loving  you

Toto! Umenielewa

Similar Posts:

Leave a Reply

Close Menu