G Nako – Edda ft. Aslay & Rich Mavoko Lyrics

G Nako – Edda ft. Aslay & Rich Mavoko Lyrics

Loading...

S2kizzy beiby

Maumivu ya mapenzi wewe nipee discount

Umegeuka kidume wewe in this house

Bonyeza kitufe mama ni log out

Moyo umeupa konde ni big punch

Usije kushangaa nimefunga kitanzi

Ua

Ninavyokujali kurudi nyumbani haifikagi hata saa sita

Tena nilivyo bonya nikipata vipesa huwaga nakukumbuka

Hivi ni wewe kweli niliyekuita sali

Yaani ni wewe kweli unafanya nikafeli

Edda edda….unanieka hedda mtoto wa kiume

Edda edda…. Oooh nazidi kukonda naukosa unene

Edda edda…. Unaniweka hedda mtoto wa kiume

Edda edda…. Mmmh utanitoa roho

Mwili umekongoroka, umebaki mifupa

Mi mwanaume wa shoka, wanivuta ka buta

Usinipeleka mbio, kisa penzi halina salio

Kila kitu niseme ndio, utaniumiza

Aisha tena

Penzi linachenga chenga geuza antenna

Umenipa mzigo mzito kama container

Umelifunga penzi sina opener

Mwenzako siwezi

Edda edda….aaah unaniweka hedda mtoto wa mwenzio

Edda edda…. Aaah unaniweka hedda mtoto wa kiume

Edda edda…. Aaah unaniweka hedda mtoto wa mwenzio

Edda edda…. Aaah unaniweka hedda mtoto wa kiume

Huna huruma hata kidogo

Umeumbiwa ubaya mama unanongwa iyo

Najikaza jikaza yaani kamba shingoni

Penzi kwako hakunaga  hilo

Fasta tena presha ilishuka kapanda

Leo tena shida ni mbuni wa mapesa

We sema mbona ushanichukua mateka

Mapema

Maumivu ya mapenzi wewe nipee discount

Umegeuka kidume wewe in this house

Bonyeza kitufe mama ni log out

Moyo umeupa konde ni big punch

Usije kushangaa nimefunga kitanzi

Edda edda….mamamamamama

Edda edda…. Fanya mapenzi yananichangaya

Edda edda….

Similar Posts:

Leave a Reply

Close Menu