Gabu – Mastory Ft. Mbosso Lyrics

Gabu – Mastory Ft. Mbosso Lyrics

Loading...

Buga mi sipendi mastory

(buga mi sipendi mastory)

Mami uko fine don’t worry (mami uko fine don’t worry)

Hakuna noma hakuna ngori(ngori eeh)

Usijam sana ushike mori

You looking fine unakaa better fine

My terry ana peperuka(mmmh)

Kila fisi anataka kukukuta

‘Cause you are so beautiful my girl

Lakini unanichanganya beiby

Una machali wengi friendly

Sikucheki kila weekendi

I gotta feel some jealousy

Me nakupenda beiby daily

I gotta kiss you beiby daily

Lazima nikushow my beiby

Am so jealous buga

Buga mi sipendi mastory (buga mi sipendi mastory)

Mami uko fine don’t worry (mami uko fine don’t worry)

Niko powa sina mambo Kata maji and i love you

Wewe ni wangu, mimi ni wako Mimi ni wako oooh…niko ndaani…

Nilianza taratibu mwendo Nikujue kiundani

Pendo lajaa nyingi skendo Unakosa kitu gani

Sikutaka fumba macho Wala masikio nisisikie

Sio kwa mazuri yako Na mabaya niyashuhudie eeh

Mbosso mi sipendi mastory (mbosso mi sipendi mastory)

Kila siku kunifanya mdori ( kunifanya mdori)

Mambo ya kudanganya na yashaishaga zamanii

Kama matuktuk kupelekeshana ndo mapenzi ganii?

Mbosso mi sipendi mastory (mbosso mi sipendi mastory)

Kila siku kunifanya mdori ( kunifanya mdori)

Niko powa sina mambo Kata maji and i love you

Wewe ni wangu, mimi ni wako Mimi ni wako oooh…niko ndaani…

Tell me something beiby that i don’t know

Tabia zako saa za nikeraa

Niko powa sina mambo Kata maji and i love you

Wewe ni wangu, mimi ni wako Mimi ni wako oooh…niko ndaani…

Unanidundisha dundisha kwa roho yangu

Umekosa nini? Unataka nini? Nikupe nini utulie

Similar Posts:

Leave a Reply

Close Menu