Masauti – Sare Lyrics

Masauti – Sare Lyrics

Loading...

Masauti….oooh…

Kenyan boy

Baby me na wewe sare sare Sare sare sare

Tunafanana sare sare Sare sare sare

Nakukabidhi moyo wangu,

Moyo wangu,

mama unitunzie, Eeh

malkia wa penzi langu,

fahari yangu Manyaku wasikunyakue, Eeh

wanijua mwenyewe,

Mtundu kitandani nielewe

Mpaka chumbani sitaki uchelewe

Ili tu niwe na wewe

Oooh my beiby nishobeze

Zidisha penzi hadi nilewe

Taratibu basi nikoleze

Hadi nikoleee

Umenifanya zuzu umenikoroga

Nimebana kwako mimi siwezi toka

Kabisa nimeganda, nimeganda

Hata wakisema umeniroga

Kwako kamwe mimi siwezi toka

Kabisa nimeganda, nimeganda

Baby me na wewe sare (sare)

Sare sare (sare)

Tunafanana sare(sare) Sare sare

Baby me na wewe sare (sare) Sare! Sare! (sare)

Tunafanana sare(sare) Sare! Sare!

Kila niamkapo sura yako ndio naitazama(aaah eeeh)

Ukicheka shavuni dimple, mtoto sauti kinanda(aaah eeeh)

Nataka na penzi lako kitaani mimi navimbaga(aaah eeeh)

Kwa shepu na kumaku macho podoo, wana hata la kusema oooh

Yaani toto la kishua, unavyonizuzua

Ndio maana ukinipa mimi sikinaaai (eeh! Sikinai)

You bust my medulla, unavyo sasambua

Mi nikiwa nawe najidaii(eeh najidai)

Umenifanya zuzu umenikoroga

Nimebana kwako mimi siwezi toka

Kabisa nimeganda, nimeganda

Hata wakisema umeniroga Kwako kamwe mimi siwezi toka

Kabisa nimeganda, nimeganda

Oooh beiby… Baby me na wewe sare (sare) Sare sare (sare)

Tunafanana sare(sare) Sare sare

Baby me na wewe sare (sare) Sare! Sare! (sare)

Tunafanana sare(sare) Sare! Sare!

Similar Posts:

Leave a Reply

Close Menu