Maua Sama – Iokote Ft. Hanstone Lyrics

Maua Sama – Iokote Ft. Hanstone Lyrics

Loading...

[MAUA SAMA]

Hey heey….

Oh uuuh yeah

Oh baby, niruhusu tufanane

Huku nikiamini one day, utanioa aah

Baby nikikuona nabanwa na haja

Baby nakuwaga kitutu ng’ag’a

Tell me nikipita kupa mawazo

Ooh baby

kati nakutunuku mia mia

Kwa kichomi nikande Kwa moto baridi usigande

Kama ruba nigande Tuwe wote eeh

Aah come baby come babe

Msumali kwa nyundo nigonge

Ohh Monday to Sunday I love you

[HANSTONE]

Mmmh oh basii (lokote)

Sio kwa bed kwa kochi kitandani naichumia (iokote)

Nikiona kwa juu chini naizamia (iokote)

[MAUA SAMA]

Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote)

Nakunja goti napandisha morili nachechemea Oh yeaaahh… Baby … baby

[HANSTONE]

Ikitoka kuoga nipende ya moto moto (aah)

Tinga moka kitenge totoke mtoko (aaah!)

Boda kwa boda tutembee  (Chocho kwa choko)

Tena nikichoka nibebe (me kwako mtoto)

Aiye eh Rafudhi ya Pemba rangiani hai (hai)

Nywele kihindi chambi chambi (nai)

Cheza rafu kona bambii, Mpoko mpoko

Heeeii Refa katupa penatii (ahaa eeh)

Mpira ushawekwa katiiii (aahh eeh)

Nahitaji magoli kwa chenga zako Piga shuti nikudalie

Kwa kichomi nikande Kwa moto baridi zigande

Kama ruba nikugande Tuwe wateee (eeh)

Uhuu yeeeeh

[HANSTONE]

Aah come baby come baby Msumali kwa nyundo nigonge Ohh Monday to Sunday I love you

Mmmh oh basii (lokote)

Sio kwa beds kwa kochi kitandani naichumia (iokote)

Nikiona kwa juu chini naizamia (iokote)

Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote)

Nakunja goti napandisha morili nachechemea Oh yeaaahh… Baby … baby

Similar Posts:

Leave a Reply

Close Menu