Mbosso – Hodari Lyrics

Mbosso – Hodari Lyrics

Loading...

Lalala lalalalalaaaa…

Lalalalalaaaa…

Shombe shombe mtoto laini laini

Anawaka waka … Aaaaah

Wanga wape vidonge nimebaini baini

Wanatapa tapa … Aaah… Uhmmmm…

Mina nawe mpaka kiama tuombe uzima

Waroge kwa kuchutama na wasimame wimaa

Kamwe watopata mwanya habithi fitina

Wavige mabiringanya si tutoke diner

Nalegeaa ukinitazama yako macho Yako macho, oh!

Nalegeaa ikigusana Yangu na yako Yangu na yako

[CHORUS]

Katoto hodari

Hodari wa mapenzi

Jamani hodari

Hodari wa mapenzi

Kwa michezo ya chumbani hodari

Hodari wa mapenzi

Mtundu kitandani hodari

Hodari wa mapenzi

Katoto nyakanga kamemzidi somo na kungwi

Chumbani kiranga kinaishaga komo kirungi

Nisakata makirikiri

Kuniwasha ka pilipili

Fundi haswa amekithiri

Hunipa nilewe

Kwasa kwasa ndani pingili

Za kukata saga ka chili

Nani haswa unafikiri

Kama si wewe

Nichezeshe kidaru sosi Usiku wa mananee( vangaa)

Nikande kipanda uso tufunikane (kanga)

Nipitishe boda la huko tukakutane (tanga)

Sie pini wa uputo wasijichanganye watapasuka

Nalegeaa ukinitazama yako macho Yako macho, oh!

Nalegeaa ikigusana Yangu na yako Yangu na yako

 

[CHORUS]

Katoto hodari

Hodari wa mapenzi

Jamani hodari

Hodari wa mapenzi

Kwa michezo ya chumbani hodari

Hodari wa mapenzi

Mtundu kitandani hodari

Hodari wa mapenzi

Wema sepetu hodari (Hodari wa mapenzi)

Uwoya hodarii (Hodari wa mapenzi)

Mama Cookie hodarii (Hodari wa mapenzi)

Mama Dangote hodarii (Hodari wa mapenzi)

Jack Wolper hodari (Hodari wa mapenzi)

Zari mama Tiffa hodari (Hodari wa mapenzi)

Ohesmakan hodari (Hodari wa mapenzi)

Elizabeth Micheal Hodari (Hodari wa mapenzi)

Similar Posts:

Leave a Reply

Close Menu