Nacha – Hadithi Lyrics

Nacha – Hadithi Lyrics

Loading...

Heee tusimulie, mulie mulie

Heee tusimulie, mulie

Pindi nyie wadogo

Kuna visa viliibuka sio kidogo

Wizi nikasema hii ni Bongo

Mnajua ni nani (Babu wa Loliondo)

Vizuri, hajarudi Kristo

Na wakaibuka maana ya bi vituko

Na hata huko kwenu najua wapo

Nitajie mmoja tu (na Bi. Mvitoo..)

Eeh na wakachekesha Zikaibuka kiki za BASATA

Kibamia kufungiwa mwisho wa hapa

Alafu za Rihana ruksa za kuzichapa (aaah…)

Acheni pupa hadithi inaendelea bwana

Hadithi hadithi hadithi (utam kolea, uwongo njoo bwana, utam kolea )

Hadithi (utam kolea, uwongo njoo bwana, utam kolea )

Hadithi hadithi hadithi (utam kolea, uwongo njoo bwana, utam kolea )

Hadithi (utam kolea, uwongo njoo bwana, utam kolea )

Wakaibuka watu wa Bongo, watu wasiojulikana

Wakampiga na Liz wasiojulikana

Wakamteka na Roma wasiojulikana

Wakavunja beti Taifa (hao ni simba bwana)

Wakasema hii siasa haina usawa

Wakajiunga unga ikawa ukawa

W-wakesi wengi ndo ushindi

Ila hakuna muda hato umoja hushinda wingi

Manje akafungwa, Yanga ikayumba

Wimbi la ushoga sio ni stori za kutungwa

Mange akashindwa maandamano yakapingwa

Na hii ndio Bongo, utayooshwa ukipinda (aaah…)

Acheni pupa hadithi inaendelea bwana

Hadithi hadithi hadithi (utam kolea, uwongo njoo bwana, utam kolea )

Hadithi (utam kolea, uwongo njoo bwana, utam kolea )

Hadithi hadithi hadithi (utam kolea, uwongo njoo bwana, utam kolea )

Hadithi (utam kolea, uwongo njoo bwana, utam kolea )

Similar Posts:

Leave a Reply

Close Menu