Otile Brown – Crush Lyrics

Otile Brown – Crush Lyrics

Loading...

Ooooh beiby…

Sometimes nahisi kama Ni jana tumekutana

Kwa miaka ishirini ndani ya ndoa Ila bado unanikoshaga

Una mature kama wine

Watoto watatu ila haujafulia

Tena mapenzi hayajapungua

Nakupenda zaidi ya jana

Wala sijakuchoka

Mapenzi yanazidi noga

Najua huna masonga Na wazuri wamezaliwa Ila wewe ndo bora

Fashion nova youu…eeeh Yoou….

fashion nova you You are my favourite Mulina wanje

Fashion nova youu….eeeh Yoou….am still crushing on you

You are my favourite Mulina wanje

Oooh beiby…oooh yeah

Oooh beiby

Eeh eeh If am to choose Girl i still choose you

Mara nikikuona roho inagonga dudu

Kwako nalilia sinong’oni bubu…eeeh

Wajua zaidi yako mimi sinaga

Wananiuliza kipi nacho kupendeaga

Si lazima waelewe, beiby

Juu mimi nakupenda mwenyewe, beiby

Wala sijakuchoka

Mapenzi yanazidi noga

Najua huna masonga Na wazuri wamezaliwa Ila wewe ndo bora

Fashion nova youu…eeeh Yoou….

fashion nova you You are my favourite Mulina wanje

Fashion nova youu….eeeh Yoou….am still crushing on you

You are my favourite Mulina wanje x2

Similar Posts:

Leave a Reply

Close Menu