Rayvanny – Mwanza Ft. Diamond Platnumz Lyrics

Rayvanny – Mwanza Ft. Diamond Platnumz Lyrics

Loading...

Intro

Vanny  Boy

Eee Vanny boy

They are not ready for this…

CHORUS

Eee nyege nyege

Kwetu mwanza nyegezi

Mmh nyege nyege

Nishushe mwanza nyegezi

Eee nyege nyege

Kwetu mwanza nyegezi

Mmh nyege nyege

Nishushe mwanza nyegezi

 Verse  1

Oya wind your waist,  Njoo nipatie Commando

Nikupe cha mkwesi , Kwa miuno ya taekwondo

Asa chekele , Mwendo wa kandanda , Ndani ya makwanda

Sa nisongeze,  Leta msambwanda , Nikazie nganganga

Kananivuta ghetto,  Nkapinge bunduki (High bunduki)

Ile naogopa centro, Michezo ya Amber Rutty (Amber Rutty)

CHORUS

Eee nyege nyege

Kwetu mwanza nyegezi

Mmh nyege nyege

Nishushe mwanza nyegezi

Eee nyege nyege

Kwetu mwanza nyegezi

Mmh nyege nyege

Nishushe mwanza nyegezi

Verse 2

Yaani kama mjaluo,  Shepu ya Mombasa

Hapendagi mpasuo,  Hata akishinda basata

Tepe tepe mtoto kama supu teke teke (kongoro)

Kwa mateke mwite Fally Ipupa wa temeke (Ndombolo)

Shaku shaku ya masai (Oooh masai)

Kama nachuma papai (Oooh papai)

Funika funua (twendee)

Bandika bandua (twendee)

Anika anua (twendee)

Kanipa chukua (twendee)

CHORUS

Eee nyege nyege

Kwetu mwanza nyegezi

Mmh nyege nyege

Nishushe mwanza nyegezi

Eee nyege nyege

Kwetu mwanza nyegezi

Mmh nyege nyege

Nishushe mwanza nyegezi

Verse 3

Oya fiti kalikiti ti katoto hakashikiki

kwenye bilingiti  ti Huvunjaga na kiti

Oooh sa iweke Aaa iweke iweke

Aaa iweke Ipitishe kwa chini

Aaa iweke iweke

Aaa iweke miendo ya kazi kazini aa iweke iweke

Aaa iweke hii ile ndindindii aa iweke iweke

Aaa iweke ngoja shake it ivoo aa iweke iweke

Aaa iweke twende shaku kidogo aa  iweke iweke

Aaa iweke chuma magimbimbi aa iweke iweke  aa iweke

Similar Posts:

Leave a Reply

Close Menu