Timmy Tdat – Atekwe ft. Redsan Lyrics

Timmy Tdat – Atekwe ft. Redsan Lyrics

Loading...

Atekwe (aaah)

Huyo manzi atekwe (aaah)

Ni kakitu katekwe (aaah)

Ni lazima katekwe

Namaanisha (heeeh)

Atokwe Huyo chali atokwe (sasa)

Atokwe Huyo chali atokwe (skiza)

Weusi yako uko nayo ni ya coca cola

Ukinipa namba mimi nitahalla bieby

Mimi naitaka so give it to me bieby

Na ikininibamba mimi nitarudi bieby

Eeh gal uko high on demand-i

Kam nikusunde hapa VIP

Ata huyo chali ni wa Jevanjee

Hii hapa ata alambe ni kipaji

Girl wacha wacha mama

Ju hawajioni

Ukikatika wengine hawakuoni

Ata mimi hao wengine siwaoni

Usha niumiza basi mbona mimi siponi

Atekwe (aah)

Huyo manzi atekwe (aaah)

Ni kakitu katekwe (aaah)

Ni lazima katekwe

Namaanisha (heeeh)

Atokwe Huyo chali atokwe (sasa)

Atokwe (sasa)

Huyo chali atokwe

I am the dancehall baba

Turn off gal, I love it when you squeeze and drag up

Press pon me right, and rewind and ragga

Every gyal that come around, dem haffi call fi di badder

Badder, badder

Fresh and clean

Its a place nobody can write and save it

Gyal body fit in a di tight up friendly

When ya bend your body off, your man ready

Napenda unavyo whine

Nikishika mwili wako kwenye spine

Oooh wow, we jua  mimi nina like

Nakudai songa hapa kwenye line (line line)

Atekwe(aaah)

Huyo manzi atekwe (aaah)

Ni kakitu katekwe (aaah)

Ni lazima katekwe

Namaanisha (heeeh)

Atokwe

Huyo chali atokwe(sasa)

Eeeh atokwe(sasa)

Huyo chali atokwe

Gal una design

Poa ya ku whine

Mimi nitalie Nikisema uwe mine

Naoa una hate Wacha nikupe naye

Kwa lify ninae

Mshika rohoni meza naye

Kama doctor,

Wacha nikutreat kama doctor

Aka ni katoto nita doctor

Mimi nikipiga sitahepa

Kama gola, nita keeper

Wacha nikutreat kama doctor

Aka ni katoto nita doctor

Mimi nikipiga sitahepa kama gola…

Atekwe(aaah)

Huyo manzi atekwe(aaah)

Ni kakitu katekwe(aaah)

Ni lazima katekwe

Namaanisha(heeeh)

Atokwe

Huyo chali atokwe (sasa)

Eeeh atokwe (sasa)

Huyo chali atokwe

Hey gal uko high on demand-i

Come nikusunde hapa V.I.P

Hata huyo chali ni wa Jevanjee

Hii hapa ata alambe ni kipaji

Similar Posts:

Leave a Reply

Close Menu