Willy Paul – Bebi Bebi (KIZUNGU ZUNGU) Lyrics

Willy Paul – Bebi Bebi (KIZUNGU ZUNGU) Lyrics

Loading...

Mapenzi kizungu zungu

Oooh mapenzi kizungu zungu

Teddy b

Oooh my heart oooh, ameichukua eeeh

My focus oooh, ameichukua eeeh

Mapenzi yalimchanganya daudi yeiii

Mapenzi kamchanganya fahamu uuuh

Inabidi nimwombe mwenyezi jalali kwa moyo wa ndani(oooh)

Coz toto si toto, ju animaliza toto na sio utoto (yeah eeh)

Amechanganya wathii, nairobi city, mpaka mombasani

I call her bebi bebi bebi (moyo wangu)

Bebi bebi bebi(na nguvu yangu)

Bebi bebi bebi(na maisha yangu)

Bebi bebi bebi(kizungu zungu)

Bebi bebi bebi(my number 1 queen)

Oooh jameni Sijamwona kama yeye maishani

Ana roho ya dhahabu na adabu(oooh)

Huyu bebi yuko conc and sweet

Upishi wake pia sawasawa sweet

Akitembea kila kitu ding ding

Anapopita kila mtu ding ding

Akitembea kila kitu ding ding

Anapopita kila mtu ding ding

Oooh my heart oooh, ameichukua eeeh

My focus oooh, ameichukua eeeh

Nitapiga dua, kwake maulana eeh

akulinde mama

Nitazidi piga dua,kwake maulana eeh

akulinde mama

I call her bebi bebi bebi (moyo wangu)

Bebi bebi bebi(na nguvu yangu)

Bebi bebi bebi(na maisha yangu)

Bebi bebi bebi(kizungu zungu)

Bebi bebi bebi(my number 1 queen)

Bebi bebi bebi

I know me kijana mdogo

Na nko na fear nisifanye mistake ya Mapenzi kizungu zungu

Na nko na fear nisifanye mistake ya…

Aaah Mmmh mapadre wanapatwa kizungu zungu

Masheikh wanapata kizungu zungu

Na mimi poze naogopa zungu(eeeh aaah)

Nimefall in love

Nimefall in love

Nimefall in love

I call her bebi bebi bebi (moyo wangu)

Bebi bebi bebi(na nguvu yangu)

Bebi bebi bebi(na maisha yangu)

Bebi bebi bebi(kizungu zungu)

Bebi bebi bebi(my number 1 queen)

Oooh call her bebi bebi ….

Bebi bebi …. Bebi bebi ….

Yeye ndo moyo wangu

Ndo nguvu yangu

Oooh kizungu zungu

My heart oooh, ameichukua oooh

My focus oooh, ameichukua oooh

Similar Posts:

Leave a Reply

Close Menu